Hapa Kwetu JAPANI

Haki ya kunakili n.k.

Hapa kuna taarifa kutoka kwa mwenye tovuti hii na pia maombi.

Tafadhali usome mara moja na ufurahie tovuti hii.

Asante sana.

Vovyote vilivyomo katika tovuti hii, huwezi kuweka kwenye tovuti yako bila ruhusa.

Unaweza ku-print out kwa matumizi yako wewe mwenyewe tu.
Kwa marafiki zako unaweza kuwapa URL.

Ukiwa na haja ya kutumia, uniandikie kabla hujachukua.


Kuhakikisha

Nimehakikisha nikitumia Windows8.1, Internet Explorer11.0 na ukubwa wa skrini ni 1920x1080.

Na vilevile nimehakikisha nikitumia Safari na Crome lakini operation system nyingine au browser nyingine bado inaweza kuwa haionyesi sawasawa.


Link

Unaweza kuhusikana na tovuti hii bila kuomba ruhusa lakini tafadhali naomba ufunge na ukurasa wa mwanzo http://www.etsumi.jp/japani/

Unaweza kutumia banners lakini naomba usibadilishe ukubwa wa banners zenyewe.Ukitaka niweke linku kwa tovuti yako uniandikie .