Jina |
nyamburra |
Nimejipatia hilo jina |
Siku yakuzaliwa |
18 Desemba |
Ninaishi muda mrefu sana! |
Uraia |
Mjapani |
Tangu kuzaliwa |
Mahali pa kuishi |
Hyogo, Japan |
Lugha |
Kijapani pamoja na Kiswahili kidogo. Kiingereza,,, Lo! |
Hobi |
Safari, kupiga picha, kushona, kusoma n.k.
Kwa sasa komputa pia ni hobby yangu tena kubwa! |
Kiswahili |
Mnamo mwaka wa 1980 nilianza kujifunza. |
Ninachopenda |
Nyama ya kuchoma |
Hasa ya mbuzi. Ukininima itakuwa Vita!! |
Kenya |
Nilisafari zaidi ya mara 20. Siwezi tena kuhesabu.... |
Tanzania |
Nilisafiri mara tano na niliishi Dar-es-Salaam kuanzia mwaka wa 1985 mpaka 1990. |