Napenda kuwaeleza maisha yetu ya hapa Japani. Nchini kwetu ni padogo lakini kila sehemu kuna mila yake. Nitajitahidi kuwaeleza matukio ya kila mwezi kwa Kiswahili.