Hapa Kwetu JAPANI

Ni-gatsu ; Kisaragi (jina la zamani)


Januari

Mwezi huu wa Februari tuko kwenye baridi bado,lakini katika kalenda ya kijapani (the lunar calendar) inasema tumeingia majira ya HARU, ya kuchipua.

Jina la zamani la mwezi huu linaitwa KISARAGI.
"Kuvaavaa nguo juu za nguo nyingine nyingi kwa sababu ya baridi"
Mara nyingi wanasema hii ndiye maana yake Kisaragi. Hapana, si ukweli.

Maana yeke kwa ukweli ni maua, majani, mimea yanaanza kuchipua tena.

Kijapani cha zamani ni ngumu kiasi kwa watu wa sasa.

Risshun

Siku ya kwanza ya HARU


Setsubun

Jana yake ya Risshun

Kwenye kalenda ya kijapani jana yake ya siku ya kwanza ya kila majira inaitwa Setsubun. Zamani zilkuwepo Setsubun kila majira lakini siku hizi tukisema Setsubun inamaanisha jana yake ya Risshun peke yake.

Mame-maki

Kuhukuza maovu


Barentain de

Valentine day


Juken

Mitihani