Hapa Kwetu JAPANI

San-gatsu ; Yayoi (jina la zamani)


Januari

Ikifika mwezi wa Machi tunakuta baridi imeanza kupungua kidogo.
Pengine ukitembea utaona majani yameanza kuchipua kweli.
Kalenda ya kijapani na ya Ulauya kuna tofauti kidogo
Mwezi huu wa Machi tunajisikia tuko kwenye majira ya HARU, ya kuchuipua.

Mwezi huu mara nyingi watu wanaagana. Kwa kuwa mwaka wa fedha unaisha mwezi huu huu. Wanaomaliza shule au wanaohamishwa offisi kazini wanaondoka.

Lakini kuachana ni kukutana.
Mwezi ujao wa Aprili watu wengine wapya watakutana.

Hina-matsuri

Sherehe ya wasichana


Hina-kazari

Wadoli wa Hina-matsuri


Hishimochi

Mochi yenye umbo la diamond-shaped


Hina-arare n.k.

Tamutamu ya Hina-matsuri


Sotsugyo

Kumaliza shule