Hapa Kwetu JAPANI

Ichi-gatsu ; Mutsuki (jina la zamani)


Januari

Mwezi wa Januari ni mwezi wa kwanza, mwanzo wa mwaka mpya.
Hata hapa kwetu Japani, tuna mambo mengi ya kimila mwezi huu wa Januari.

Zamani walikuwa wameanza kutayarisha tangu tarehe 13 mwezi wa Desemba, ili wapokee vizuri Mungu wa mwaka mpya ikifika tarehe 1 mwezi wa Januari.

Kwa sasa mambo yamebadilika kidogo ikawa kama likizo ndefu ya mwaka mya.
Wengine wanarudi nyumbani na wengine wanasafiri nchi za ng'ambo.

Nengajo

Kadi ya Mwaka mpya


Hatsu-mode

Kwenda kusali kwa kanisa la Shinto


Otoshi-dama

Zawadi ya watoto


Kadomatsu n.k..

Mapambo ya mwaka mpya


Karuta

Karata ya Kijapani


Takoage n.k.

Michezo ya mwaka mpya


Osechi Ryori

Chakula cha mwaka mpya


Otoso

Pombe ya mwaka mpya


Kakizome

Mazoezi ya kuandika